Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 19, 2015

SHUJAA::Mkenya aamua kutambaa ili akamilishe mbio licha ya kupata maumivu

Hyvon Ngetich
Mwanariadha wa Kenya Hyvon Ngetich ameshindwa kutwaa ubigwa wa mbio za marathoni ya Austin huko Texas.
Ngetich alishindwa kumaliza vizuri mbio hizo za mia 50 baada ya kupata maumivu ya goti
Mpaka anaanguka chini mwanaridhaa huyui alikua 


anaongoza mbio hizo,jopo la madaktari liliangalia hali yake baada ya kukataa kubebwa kwenye kiti cha wagonjwa.

Hyvon alishika nafasi ya tatu katika michuano hiyo ya Riadha ya marathoni.

No comments:

Post a Comment