Barcelona imefanikiwa kushinda kwa mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa hatua ya 16 Bora.Barcelona imeshinda kwa mabao hayo ugenini dhidi ya wenyeji wake Manchester City huku Luis Suarez akiwa shujaa kwa kufunga mabao yote mawili.Lionel Messi alipata nafasi ya kufunga mkwaju wa penalti baada ya kuangushwa na Zabaleta katika dakika ya 90 lakini Joe Hart akaokoa, mpira ukamrudia Messi, akakosa.
Waziri wa Kilimo, Amefanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Mipango na Uwekezaji
-
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Godfrey Chongolo (Mb) amefanya mazungumzo na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander
Mk...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment