Baadhi ya Abiria na wananchi wa kijiji cha Milundikwa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wakiangalia basi la Ndenjela Express lenye namba za usajili T 850 CRE kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda mkoani Katavi ambalo limepinduka jana nyakati za saa 11 jioni. Abiria kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka
BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA
KISHERIA IRINGA
-
Na Lusajo Mwakabuku – WyKS Iringa
Bodi ya Kitaifa ya Ushauri ya Msaada wa Kisheria ikiwa katika kikao kazi
cha Kumi kinachofanyika kwa siku mbili Mkoani Ir...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment