Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 1, 2015

PICHA: MAJONZI YATAWALA NYUMBANI KWA MAREHEMU KAPTENI KOMBA



 Mjane wa marehemu Kapteni John Komba, Bi. Salome Komba akilia kwa uchungu nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu 
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi (wa kwanza kushoto) akimfariji mke wa marehemu, Salome komba(katikati)




 Khadija Kopa(katikati), ambaye alikuwa chini ya Komba katika kikundi cha taarabu cha TOT akilia kwa uchungu nyumbani kwa marehemu Komba
Ndugu wa marehemu Kapteni John Komba wakilia kwa uchungu.
Wabunge wa Chadema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' (kushoto) na Godbless Lema (kulia) wakizungumza na Mhe. William Lukuvi msibani
Picha na GPL

No comments:

Post a Comment