Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 30, 2015

PICHA::::MWILI WA ABDUL BONGE WAPELEKWA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI ZAIDI



 Mwili wa aliyekuwa mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge, leo asubuhi ulihamishwa kutoka katika Hospitali ya Mwananyamala na kupelekwa Muhimbili kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi.
Mtandao huu ulishuhudia jamaa wa marehemu huyo wakiuhamisha mwili huo wakisema ni lazima mwili huo ukafanyiwe uchunguzi wa kina kutokana na 

 
utata wa kifo chake. Mdogo wa marehemu aitwae Idd Taletale alisema endapo uchunguzi huo utamalizika leo utasafirishwa leo kuelekea Kijiji cha Mkuyuni kilichopo Matombo mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.
CHANZO: GPL

No comments:

Post a Comment