Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 7, 2015

HEBU TAZAMA KITUKO HIKI CHA AJABU KILICHOTOKEA JANA KWENYE MECHI YA BARCELONA NA CELTA VIGO

274F858400000578-3026849-image-a-72_1428274391202 (1)
Orellana akikusanya lundo la nyasi uwanjani kabla ya kumrushia Busquets
HASIRA hasara! Barcelona jana ilishinda 1-0 dhidi ya Celta Vigo, lakini kulitoke kituko cha msimu.
Jeremy Mathieu alifunga goli dakika ya 73′, lakini dakika za majeruhi wa Celta Vigo Fabian Orellana alichukizwa mno na kitendo cha Sergio Busquets wa Barcelona kuchelewesha muda.
Orellan akimrushia Bosquets lundo la nyasi
Orellana alimzonga muamuzi na baada ya hapo anakusanya ‘minyasi’ mingi ya uwanjani na kumtupia Bosquets.
Kutokana na tukio hilo, Muamuzi  Inaki Vicandi Garrido
The lump of turf strikes Busquets in the neck after tempers reached boiling point in Spain
Nyasi zilimkuta Busquets shingoni

 
Referee Inaki Vicandi Garrido (right) brandishes a straight red card following the incident
Orellana alipigwa kadi nyekundu

No comments:

Post a Comment