Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, April 8, 2015

MAJNAGA CHADEMA::MTUNZI WA NYIMBO ZA DR.SLAA AMFUATA ZITTO KABWE ACT


Muhamasishaji wa CHADEMA mtunzi wa nyimbo maarufu ya SLAA ANAWEZA na nyingine ndugu MASHAKA PEPE almaarufu PEPE ameachana rasmi na CHADEMA na kujiunga na Chama cha wazalendo ACT WAZALENDO jana. amekabidhiwa kadi na mwenyekiti wa Taifa ndugu Anna Mghwira sambamba na viongozi Wengine.

 

 

No comments:

Post a Comment