Waombolezaji wakisoma dua ya kumwombea marehemu Abdallah Rehani, Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Marehemu Mzee Abdallah Rehani nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Waombolezaji wakizika mwili wa baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda , Marehemu Abdallah Rehani kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika mazishi ya Baba Mkwe wake , Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad Slaa akishiriki katika mazishi ya baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aorili 4, 2015.
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali walioshiriki katika mazishi ya Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanziba Seif Sharif Hamad wakitoka kwenye eneo la makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam baada ya mazishi ya baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani Aprili 4, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mstaafu, Frederick Sumaye na mwenye koti jeusi katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi.
Spika
wa Bunge Anne Makinda akitoa pole kwa familia ya Marehemu akiwemo mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) ambaye alifiwa na baba yake
Mzazi, Mzee Abdallah Rehani , Nyumbani kwa marehemu,Tabata jijini Dar es
salaam Aprili 4, 2015 . Wengine pichani ni ndugu wa karibu wa Mama
Pinda.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk.
Wilbroad Slaa katika mazishi ya babamkwe wake yaliyofanyika kwenye
Makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015. Kushoto ni
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif
Hamad.
(Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment