Mtoto wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Andrew Nyere, akiteta jambo na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara kijijini Mwitongo Wilayani Butiama. (Picha na Said Powa)
KAMATI YA BUNGE YAELEKEZA UJENZI WA SHULE MPYA ZA MULEBA ZIKAMILIKE APRILI,
2025
-
OR-TAMISEMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeuagiza uongozi wa Wilaya ya
Muleba, Mkoa wa Kagera, kuhakikisha ujenzi wa Shule ya Sekondari Biija na ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment