Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, April 17, 2015

SOMA ALICHOKIANDIKA RAIS MUGABE KUHUSU MAUAJI YA KIKATILI YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI!

"South Africans will kick down a statue of dead white man,but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."
Tafsiri:
Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi 

 
mzungu yeyote aliye hai. Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe

No comments:

Post a Comment