Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, April 17, 2015

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::WATU 18 WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA HIACE KIWIRA MBEYA



Watu 18 wamefariki dunia katika ajali ya hiace maeneo ya kiwira wilayani Rungwe Mkoani Mbeya na

 
 inasemekana majeruhi ni wawili gari hii ilikuwa ikiokea mbeya mjini kwenda Tukuyu

No comments:

Post a Comment