Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe Membe akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini kukagua miradi ya maendeleo na afya
inayofadhiriwa na taasisi za Clinton Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative (CHAI).
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Aipongeza TNCC kwa Huduma ya Certificate of
Origin
-
*Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.*
*Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Hamida Mussa Khamis Shuduma, amesema
ameridhishwa na huduma mbalimbali zinazotolewa na...
1 hour ago
.jpg)

No comments:
Post a Comment