Andre Schurrle anaweza kuwa ameondoka katika ligi kuu ya Uingereza na kwenda kucheza katika ligi ya nyumbani kwao Ujerumani tangu mwezi January mwezi huu – lakini jambo hilo halijaweza kumfanya akose nafasi ya kujikusanyia medali ya ubingwa wa Premier League.Winga huyo wa kijerumani, ambaye alihamia Wolfsburg kutoka Chelsea wakati wa dirisha la majira ya baridi, aliichezea Chelsea mechi 14 msimu kabla ya kuhama – hivyo kupata uhalali wa kujipatia medali ya ubingwa wa EPL.
Watendaji wa Uchaguzi watakiwa kusimamia Uchaguzi kwa weledi
-
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama
ya Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakjati akifunga mafunzo
ya wa...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment