Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 21, 2015

PICHA 30 ZA VURUGU KATI YA POLISI NA WANAINCHI WA IRINGA,MABOMU YAPIGWA KILA KONA

.Sababu ni kile kinachodaiwa askari polisi kumuuwa kwa risasi mwananchi wa mtaa wa kambalage na kumjeruhi mwingine


 
kijana Basil Ngole Anayedaiwa kuuawa na polisi jana usiku majira ya Tatu Huko Kambalage Njombe



 
Kijana Fredy Ambaye Alijeruhiwa Akiwa Hospittal ya Mkoa wa Njombe Huko Kibena Asubuhi 












Hali ya Taharuki yaendelea Hadi Mchana Huu Mjini Njombe Kufuatia Maandamano Makubwa ya Wananchi Baada ya Kile Kinachoelezwa Askari Polisi kumuuwa Mwananchi Basil Ngole Mkazi wa Kambalage Mwenyeji wa Lugenge.


Mapemba  Asubuhi Wananchi Hao Wameandamana Kutoka Kambalage Hadi Hospitali ya Mkoa Huko Kibena Kumjulia Hali Majeruhi Kijana Fredy Ambako Mabomu Yalianzia Majira ya Nne Asubuhi Baada ya Wananchi Kufunga Barabara Kwa Mawe Kutokana na Kucheleweshwa majibu ya kauli ya Jeshi la Polisi Juu ya Mauaji Hayo.


Taarifa Zaidi Endelea kufuatilia Mtandao Huu.

No comments:

Post a Comment