
MTV
AFRICA wamethibitisha uwepo wa msanii wa marekani maarufu kama Neyo
katika usiku wa utoaji tuzo ambazo zitafanyika tarehe 18 mwezi ujao.
Leo katika mtaandao ya Twitter MTV wameandika:
"What ya'll think of a @diamondplatnumz & @NeYoCompound collabo at #MTVMAMA2015? Could be epic, right @MTVbaseAfrica?! ".

No comments:
Post a Comment