Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 26, 2015

Picha,Siku ya kwanza Davido kulala kwenye nyumba yake ya Marekani.


davido 1 
Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido amemaliza kurekebisha nyumba yake iliyopo Atlanta, Georgia huko Marekani. Nyumba hii imeripotiwa kuwa na gharama ya pesa za Nigeria Naiea milioni 33.
March mwaka 2015 Davido alisema anatafuta nyumba Marekani. Album yake mpya ‘The Baddest’ inatoka June, 2015
 davido 2

No comments:

Post a Comment