Rais Uhuru Kenyata baada ya kutembelea mtaani kwenye duka la mama Mulili aliagiza soda na chapati.Akiwa ameongozana na makamu wake Ruto alipomuuliza amnunulie soda alikataa na kuagiza maziwa,Mama Malili mwenye duka amesema toka rais aje dukani kwake wateja wameongezeka na kampuni ya soda imemuimalishia miundo mbinu baada ya kuagizwa na rais wafanye hivyo.
SERIKALI YASISITIZA UMUHIMU WA MAFUNZO YA UFUATILIAJI NA TATHIMINI KWA
MAENDELEO YA MIRADI YA SERIKALI
-
*Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imezitaka
halmashauri, taasisi, na wadau mbalimbali wanaonufaika na mafunzo ya
ufuatiliaji...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment