Kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda (25) (kulia) na John Mwaipyana (27) Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda (25) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwangalia Bw. John Mwaipyana (27)
akionesha uwezo wake wa kucheza sarakasi kwa baiskeli aina ya Phoenix.
yeye mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari
kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa
madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora
ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi
kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda
baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa
Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa
ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura
Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Bw. Wiseman
Mwakyusa Luvanda(25) (kushoto ) na John Mwaipyana (27) Wapanda baiskeli
wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830
kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais
jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko
mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya
Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao
wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya
muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na
kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda
(25) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari
kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa
madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora
ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi
kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda
baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa
Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa
ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu maalumu alichopewa na
kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) mmoja wa Wapanda
baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa
kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya
kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta
maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye
viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli
wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao
ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja
na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) na Bw. John Mwaipyana, Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment