Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 5, 2015

TAZAMA PICHA:::KIJANA ANAYESADIKIKA KUWA MWIZI APOKEA KICHAPO CHA NGUVU

 Hapa akipelekwa eneo ambalo ameiba baada ya kukamatwa wakati anakimbia eneola mtaa wa Uhuru, Mwenge jijini Dar
 
 Kibaka akiwa amekula kichapo cha maana baada ya kukamatwa na Laptop za wizi.

 Mama Aliyevaa Kilemba aliyemshika mtu anayesemekana ni mwizi akitoa ufafanuzi kwa majirani wa eneo hilo leo kuhusu wizi ulivyotokea katika mtaa wa uhuru eneo la Mwenge jijini Dar
 Laptop ambazo alikuwa amekamatwa nazo
 Kibaka akielezea kabla ya wananchi wenye hasira kali hawajaanza kumpa kichapo
 Hapa ndipo alipo banjua kabla ya kuiba
 Hizi ndizo Nyenzo zake alizokuwa akitumia wakati wa uharifu wake..

Picha na Dar es salaam yetu Blog

No comments:

Post a Comment