RELEASE NO. 102
TAREHE 20 JUNI, 2015
KAMATI YA UTENDAJI YASITISHA AJIRA YA NOOIJ
Kamati ya utendaji ya Shirikishi la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine ilipitia mwenendo wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na kuhudhuria mchezo kati ya Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmin ya mwenendo wa timu.
Kamati ya utendaji kwa kauli moja imeamua yafuatayo:
1.Ajira ya Kocha Mkuu Maart Nooij inasitishwa mara moja kuanzia tarehe 21/June/2015.
Ķ
2.Benchi lote la ufundi la Taifa stars limevunjwa kuanzia tarehe 21/06/2015.
3.Uongozi wa TFF utatangaza punde benchi jipya la ufundi la timu ya Taifa.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
--
Best Regards,
Baraka Kizuguto
MEDIA & COMMUNICATION OFFICER
Tanzania Football Federation - TFF
T: +255 22-2861815 I F: +255 22-2861815 I C: +255 713 455970
E: b.kizuguto@tff.or.tz, I W:
RC LINDI AZINDUA UGAWAJI WA PIKIPIKI NA VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI WA
BBT-KOROSHO
-
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amezindua ugawaji wa vitendea
kazi,pikipiki 152 na vishikwambi 152 kwa ugani ambao wameajiriwa na bodi ya
Korosho kup...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment