Mara baada ya Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mStaafu Mh Edward Lowassa Kuhamia Chadema Kutokea CCM Watu Mbalimbali wametoa Maoni Mbalimbali kuhusu tukio hilo.Hali ni Tofauti kwa Makada wa Vyama hivi.Hii Kauli nzito Aliyoitoa Mbunge wa Bumbuli na Aliyekuwa Mtangaza nia kugombea Urais Tanzania Mh January Makamba.
MRADI WA KUENDELEZA LISHE NA UFUGAJI ENDELEVU WA VIUMBE MAJI KWA WAKULIMA
WADOGO YAZINDULIWA MPITIMBI
-
*Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista
Mhagama akizungumza katika Uzinduzi wa mradi wa kuendeleza lishe na ufugaji
end...
16 minutes ago
No comments:
Post a Comment