Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 21, 2015

Ester Bulaya Ameandika Haya Maneno Baada Ya Tetesi Kuhusu Kuondoka CCM

Mbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga. 

 
Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.
Chanzo: Nipashe

No comments:

Post a Comment