Jay Z Na mke wake Beyonce wameshindwa kukamata nafasi za juu kwenye
orodha ya watu maarufu waliolipwa zaidai mwaka 2015. Jarida la Forbes
limetoa watu maarufu 100 waliolipwa zaida mwaka huu. Beyonce ameshika
namba #29 akiwa na pesa dola milioni $54.5 .
Hii ndio orodha ya kumi bora.
1. Floyd Mayweather: $300 million
Hii ndio orodha ya kumi bora.
No comments:
Post a Comment