skip to main |
skip to sidebar
PICHA::NAY WA MITEGO: Sitaki Watoto Wangu Wasome kwa Shida Ndiyo Maana Nimewanunulia Gari la Kuwapeleka Shule.
Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego amefunguka kuwa hataki watoto
wake,Curtis na Munie wasome kwa shida kama yeye alivyosoma kwa
tabu,ndiyo maana amewanunulia gari la kuwapeleka shule.
Akipiga stori na Clouds FM,alisema kuwa gari hilo lina vitu muhimu ndani
kama meza ya kulia chakula,sinki la kunawia mikono,kitanda cha
kulalia,TV na huduma nyingine ambalo wataanza kulitumia mwakani.
‘’Unajua mimi nilisoma kwa shida sana,sasa sitaki watoto wangu wapate
shida ndiyo maana
nimewanunulia gari la kuwapeleka shule wataanza
kulitumia mwakani,na nitaajiri dereva wa kuwapeleka shule,’alisema Nay
No comments:
Post a Comment