Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 29, 2015

TWEET YA RAIS KIKWETE MARA BAADA YA LOWASSA KUHAMIA CHADEMA

 Kikwete and Lowassa  Mwaka 2015 ni mwaka wa historia kwa Nchi yetu Tanzania.Yapo Mambo mengi yamefanyika ndani ya mwaka huu.Gumzo Kubwa ni Siasa za Tanzania.Mwezi October Mwaka Huu Tanzania Tutafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mchakato unaoendelea ni uteuz ndani ya 


Vyma vya siasa kuelekea Uchaguzi huo.Kada wa CCM  Mh Edward Lowassa amekuwa Gumzo mara baada ya kuenguliwa kupeperusha Bendera ya CCM Mwaka huu.Na Tetesi za yeye kuhamia Chadema zimeshika hatamu.Mara baada ya Jana kukaribishwa na vyama vya uoinzani kupitia Umoja wao ukawa leo Rais Kikwete Ali Tweet .,Na Hii ndio tweet yake
Kikwete Tweet

No comments:

Post a Comment