Ali Kiba anasema hapa wimbo na Fally Ipupa upo na ni mzuri sana.tazama mahojiano yake.
Star wa bongo fleva Ali Kiba amethibitisha kuwa collabo na mkongo
Fally Ipupa imesharekodiwa na iko tayari ila itatoka kama Surprise kwa
mashabiki wake. Kwenye mahojiano haya Kiba pia amethibitisha kuwa collabi na Davido imefikia pazuri na muda wowote utaisikia kwenye radio yako.
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment