Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 24, 2015

BASI ARUSHA EXPRESS YA ARUSHA-MBEYA IMEPATA AJALI

Arusha express yenye namba za usajili T 165 AGB inayofanya safari za mbeya arusha kupitia njia ya dodoma ambayo imepata ajali katika kijiji cha Imezu mkoa wa Mbeya majira ya saa moja 

 
asubuhi  tarehe 22 mwezi wa nane mwaka 2015. baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa majeruhi ni watu 9. Ambapo chanzo cha ajali ni mwendokasi.-

No comments:

Post a Comment