Diamond Platnumz katajwa kuwania tuzo za African Youth Choice Za Nigeria
Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz
ambaye ameshakamilisha collabo yake na Neyo kutoka Marekani ametajwa
kuwania tuzo za African Youth Choice Za Nigeria kwenye vipengele viwili
ambavyo ni. Msanii wa Mwaka na Msanii bora wa kiume.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment