Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 25, 2015

DK. SHEIN ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea fomu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mikono 

 
wananchi katika Gari maalum akitokea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment