Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 3, 2015

HOT NEWSS::::BAADA YA KUKATWA KURA ZA MAONI CCM DKT. MAKONGORO MAHANGA ATIMKIA CHADEMA


Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho jijini Dar es salaam, wakati akitangaza kujiondoa 


uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jumapili Agosti 2, 2015.

No comments:

Post a Comment