Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 31, 2015

PICHA::SHILOLE AFANYA SHOO YA NGUVU KUMNADI MAGUFULI BASATA VIP HAPA AU NDO.........


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Shilole akitumbuiza Jana kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe.Ikumbukwe wiki chache zilizopita shilole alipewa adhabu ya kutojihusisha na shughuli za muziki kwa mwaka Mmoja..Sasa hatujaelewa kama ndo adhabu yake imefutwa au ni vipi

No comments:

Post a Comment