Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 24, 2015

TAZAMA VIDEO NA PICHA RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA ALIVYONENA MAZITO JANGWANI


Rais Mstaafu wa awamu ya tatu mh. Benjamini William Mkapa amesema kuwa wapinzani wanaodai vyama vyao ni vya ukombozi ni Wapumbavu na malofa kwa kuwa watanzania walikwisha kombolewa na chama cha ASP na TANU na kwamba chama pekee cha ukombozi kilichobaki hivi sasa ni CCM pekee.
Mkapa ametoa kauli hiyo jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Mh John Pombe Magufuli.

No comments:

Post a Comment