Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 1, 2015

PICHA UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MOROGORO MJINI

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini Fikiri Juma akimnadi Mgombea Ubunge Wa Jimbo hilo Mh Aziz Abood wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Jimbo hilo.Ikumbukwe Mh aziz Abood anatetea Kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo Mara baada ya Kuongoza Jimbo hilo kwa Miaka 5 Kwa mafanikio ya Hali ya Juu.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini wakiwaasa wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini Kumchagua MH John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Akiwahutubia Mafuriko ya wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za  Ubunge za Jimbo hilo

 
Wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa Kmpeni za Ubenge na Madiwani wa Jimbo hilo

No comments:

Post a Comment