Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 2, 2015

RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA WA DRC JIJINI DAR ES SALAAM


  
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wakati 

 
Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam jana mchana na kisha kurejea Kongo.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment