Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 12, 2015

MAFURIKO YA LOWASSA MUSOMA

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara Oktoba 11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma  Mjini, Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa  Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini,  Mkoani Mara Oktoba 11, 2015.


Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Musoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini,  Mkoani Mara Oktoba 11, 20150
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia  mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Musoma  katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa  Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara Oktoba 11, 2015.No comments:

Post a Comment