Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 7, 2015

MAZINGIIRA YA AJALI YA MCHUNGAJI MTIKILA NI YA KUTATANISHA : DP


Kauli hii imetolewa na uongozi wa chama cha UDP ,kuwa kifo cha mch mtikila kuna mazingira ya utata kufuatia nyenendo zake za hivi karibuni na mikutano Aliyoifanya mwenyekiti kwa kuwataja baadhi ya watu wakubwa katika uhusika wao na ufisadi nchini

 
Hivyo basi tunaomba serikali na vyombo vya dola vya nje na ndani kufanyia uchunguzi tukio hili

No comments:

Post a Comment