Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, October 9, 2015

Tigo yaendelea kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa aina yake

Mkuu wa kitengo cha biashara wa Tigo  Bw, Shavkat Berdiev   akimkabidhi zawadi ya simu mteja  mmoja aliyetembelea duka la Tigo Makumbusho katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja 
Mkuu wa kitengo cha huduma cha wateja Zakheem khan akifurahi pamoja na mteja aliyejipatia zawadi ya simu katika kusherekea wiki ya huduma kwa wateja zilizofanyika katika duka la Tigo  makumbusho 

 
Meneja wa ubora  huduma  kwa wateja  wa  Tigo Bi. MwangazaMatotola, akifurahi jambo na wateja wa    Tigo  waliotembelea duka la tigo makumbusho
Mkuu wa kitengo cha biashara wa Tigo Shavkat Berdiev  na Mkurungezi wa mipango  ( Mtandao ) wa Tigo Bi Halima Idd wakigawa zawadi kwa wateja wote waliotembelea duka la Tigo Makumbusho ambapo wateja wawili walifanikiwa kujinyakulia zawadi ya simu za kisasa 
Meneja  wa huduma kwa wateja wa Tigo Charles Gardner akimsikiliza mteja aliyetembelea duka la Tigo Makumbusho 
Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo  waliotmbelea duka la Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha  wiki ya huduma kwa mteja.
Imeandaliwa na MWANAHAFAKATI MZALENDO BLOG 

No comments:

Post a Comment