Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia), katika hafla iliyofanyika katika chumba cha habari cha gazeti hilo, Dar es Salaam. Kombe ametoa msaada huo kuunga mkono maelekezo ya Rais Dk. John Magufuli ya kufuta sherehe za Sikukuu ya Uhuru ili wananchi washiriki siku hiyo kufanya usafi wa mazingira kwa lengo la kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT SAMIA ATETA NA WAKUU WA KAMANDI,MATAWI NA
MAKAMANDA WA JWTZ MKOANI TANGA.
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na
Makamand...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment