Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 2, 2015

MPYAA: TAZAMA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2015
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2015 ambayo yameonyesha asilimia za kufahuru kuwa  53.40 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 56.99
Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam leo Oktoba 31, 2015 Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania, Dk.Charles Msonde, ametaja jumla ya wanafunzi waliojisajili kufanya mitihani kufikia 763,606 sawa na asilimia 98.50 . Kati yao wasichana walikuwa 408,966 sawa na asilimia 98.98 na wavulana walikuwa 354,706 sawa na asilimia 98.17. Watahiniwa 11,667 sawa na asilimia 1.50hawakufanya mtihani kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo utoro na ugonjwa. Kati yao wasichana ni 5,066 na wavulana ni 6,601.


bofya hapa chini kwenye mikoa kutazama matokeo ya darasa la saba

No comments:

Post a Comment