Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 23, 2015

Tigo Yadhamini Gulio la Annual Charity Baazar

Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari wakati wa gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii, Tigo ni wadhamini wa gulio hilo.


Mtoa huduma wa Tigo, Khalid Omary akitoa huduma kwa wateja wa Tigo kwenye gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii

Watoa huduma wa Tigo, Joshua Samuel na Judith Alfred wakitoa huduma kwa mteja wa Tigo, Justus Ndimbo mkazi wa Yombo Buza kwenye gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii



Kikundi cha sanaa cha Jumping Village kikitoa burudani kwenye gulio la lililoandaliwa na wake wa mabalozi lililofanyika Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) Masaki.  

Kikundi cha sanaa cha Jumping Village kikitoa burudani kwenye gulio la lililoandaliwa na wake wa mabalozi lililofanyika Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) Masaki.  

No comments:

Post a Comment