Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 4, 2015

TUKIO LA KUTISHA MKOANI TANGA,ITIKADI YA VYAMA VYA SIASA NDIO CHANZO

Jeshi la Polisi mkoani Tanga limemtia mbaroni mwanachama wa chama cha mapinduzi Jullius Joseph kufuatia kuwajeruhi vibaya wafuasi wawili wa chama cha wananchi CUF kwa kuwakata kwa kutumia shoka na panga na kuwajeruhi vibaya ambapo hivi sasa wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga ya Bombo kwa ajili ya matibabu.
    
 
 
CHANZO  : ITV

No comments:

Post a Comment