Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 3, 2015

BALOZI SEIF ALI IDDI AMTEMBELEA RAIS MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kulia akifurahia jambo na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Joseph Magufuli kulia akizungumza na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo. 


 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Joseph Magufuli kulia akiagana na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kufanya nae mazungumzo ikulu jijini dar es salaam.

No comments:

Post a Comment