Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi (katikati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wake kujipatia lita 40 za mafuta kwa kila mshindi wa droo hiyo kila wiki. Kulia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Bakari Maggid, na kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya mafuta ya GAPCO Tanzania, Michael Chobu.
Rais Samia Aagiza Hoja za Wafanyakazi Kufanyiwa Kazi Kwa Kina Kuimarisha
Haki na Hadhi Nchini
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,
ameielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu kufanyia kazi kwa kina hoja zote
zili...
4 hours ago



No comments:
Post a Comment