Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 31, 2015

KALI YA KUFUNGIA MWAKA:::EDDY KENZO NDIYE MPENZI MPYA WA SHILOLE,SOMA KILA KITU HAPA

Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda.
‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole.
Shilole Na Nuh Enzi za Penzi Lao
‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake 


kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo mimi amechukua tuzo ya BET mwaka huu,ananipenda na mimi nampenda sana,’’Alisema Shilole.

No comments:

Post a Comment