Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 3, 2015

MSICHANA AMUUA MCHUMBA WAKE KABLA YA HARUSI KINONDONI

Marehemu Geofrey aliyepigwa kisu na mchumba wake siku chache kabla ya kufunga ndoa.

Mtuhumiwa aliyemuua Mchumba wake
MADAI MAZITO! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Dar limesema linamshikilia mwanadada Rhoda Daudi kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchoma kisu, Geofrey Valeli Kapulula (37) aliyetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni.Tukio hilo la kutisha na ambalo limeacha maswali, lilijiri maeneo ya Ubungo National Housing (NHC) jijini Dar es Salaam...

No comments:

Post a Comment