Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, December 6, 2015

NJOO UCHEZE MUZIKI MZURI NA SKYLIGHT BAND LEO ESCAPE ONE


Waimbaji wa Bendi ya Skylight pamoja na mashabiki wa bendi hiyo wakiendelea kuzirudi katika kiota cha Escape One Jijini Dar es Salaam na leo sio siku ya kukosa maana utakosa vitu vizuri kutoka katika bendi hiyo
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band.


Kasongo Junior na Natasha wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita, bila kukosa ya leo itakuwa pale pale.
Sasa ukafika muda wa waimbaji wa bendi ya Skylight kuonesha maujuzi yao uku JOniko akiendelea kuchana mistari.
Sam Mapenzi ni muimbaji mashuhuri na huwa anajua kukonga nyoyo za watu hususani katika ule muziki wa Afrika magharibi weee utampenda hata kwa mkopo, hapo akiwa anaimba kwa kushirikiana na wenzake ndani ya bendi ya Skylight.
Mwimbaji wa Band ya Skylight, Bijal Valentine akishusha mistari ya kufa mtu mbele ya mashabiki wao waliofika kwenye kiota Cha Escape One huku akisindikizwa na waimbaji wenzake ambao ni Leah, Suzy na Sony Masamba.
Sam Mapenzi(kushoto) akiimba pamoja na Natasha (kulia) moja ya nyimbo zinazobamba hapa nchini huku Meneja wa bendi hiyo akifurahia kwa kupiga makofi baada ya Natasha kurudi tena katika bendi hiyo.
Sony Masamba akichana mistari na mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kuzirudi huku  Sam Mapenzi na Kasongo Junior wakimsikindiza kwa miondoko ya aina yake. Hakika hii sio ya kukosa leo Jumapili njoo wewe na umpedaye upateraha ya nguvu kutoka katika bendu hiyo.
Waimbaji wa bendi ya Skylight wakiendelea kutoa burudani ndani ya kiota cha Escape One Mikocheni.
Mashabiki wakiendelea kujimwaga na burudani ya Skylight Band kiota cha Escape One.
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao Jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza‬ kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam
Sasa ikafika muda wa kuzungusha mduara hakika ukikosa leo utakuwa umekosa vitu vizuri.
Kifaa kipya cha Bandi ya Skylight, Leah (katikati) akitoa burudani ya nguvu mbele ya mashabiki wao huku akisindikizwa na waimbaji wenzake  Sony Masamba (kushoto) pamoja na Suzy.
Sony Masamba akichana mistari kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku Leah pamoja na Suzy wakimsindikiza kwa kuzirudi mbele ya mashabiki wao (hawapo pichani).
Hakika Skylight band inawagusa sana mashabiki wao maana...... sasa na wewe njoo leo ujionee mwenyewe mambo yanavyokuwa.
Mashabiki wakitweta jasho na sebene la Skylight Band.
Waimbaji wa bendi ya Skylight wakicheza kwa kuwaonesha style ya nyimbo yao ili  waendane nao wanapokuwa wanacheza nyimbo za bendi hiyo.
 kawaida Waimbaji wa Bendi ya Skylight pamoja na mashabiki wa bendi hiyo wakiendelea kuzirudi katika kiota cha Escape One Jijini Dar es Salaam na leo sio siku ya kukosa maana utakosa vitu vizuri kutoka katika bendi hiyo Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band. Kasongo Junior na Natasha wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita, bila kukosa ya leo itakuwa pale pale. Sasa ukafika muda wa waimbaji wa bendi ya Skylight kuonesha maujuzi yao uku JOniko akiendelea kuchana mistari. Sam Mapenzi ni muimbaji mashuhuri na huwa anajua kukonga nyoyo za watu hususani katika ule muziki wa Afrika magharibi weee utampenda hata kwa mkopo, hapo akiwa anaimba kwa kushirikiana na wenzake ndani ya bendi ya Skylight. Mwimbaji wa Band ya Skylight, Bijal Valentine akishusha mistari ya kufa mtu mbele ya mashabiki wao waliofika kwenye kiota Cha Escape One huku akisindikizwa na waimbaji wenzake ambao ni Leah, Suzy na Sony Masamba. Sam Mapenzi(kushoto) akiimba pamoja na Natasha (kulia) moja ya nyimbo zinazobamba hapa nchini huku Meneja wa bendi hiyo akifurahia kwa kupiga makofi baada ya Natasha kurudi tena katika bendi hiyo. Sony Masamba akichana mistari na mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kuzirudi huku Sam Mapenzi na Kasongo Junior wakimsikindiza kwa miondoko ya aina yake. Hakika hii sio ya kukosa leo Jumapili njoo wewe na umpedaye upateraha ya nguvu kutoka katika bendu hiyo. Waimbaji wa bendi ya Skylight wakiendelea kutoa burudani ndani ya kiota cha Escape One Mikocheni. Mashabiki wakiendelea kujimwaga na burudani ya Skylight Band kiota cha Escape One. Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao Jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza‬ kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam Sasa ikafika muda wa kuzungusha mduara hakika ukikosa leo utakuwa umekosa vitu vizuri. Kifaa kipya cha Bandi ya Skylight, Leah (katikati) akitoa burudani ya nguvu mbele ya mashabiki wao huku akisindikizwa na waimbaji wenzake Sony Masamba (kushoto) pamoja na Suzy. Sony Masamba akichana mistari kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku Leah pamoja na Suzy wakimsindikiza kwa kuzirudi mbele ya mashabiki wao (hawapo pichani). Hakika Skylight band inawagusa sana mashabiki wao maana...... sasa na wewe njoo leo ujionee mwenyewe mambo yanavyokuwa. Mashabiki wakitweta jasho na sebene la Skylight Band. Waimbaji wa bendi ya Skylight wakicheza kwa kuwaonesha style ya nyimbo yao ili waendane nao wanapokuwa wanacheza nyimbo za bendi hiyo. Geofrey Adroph  BLOGGER P.O.BOX 24793, Mob: +255 755 274953 /+255 713 363965, Email: pamojapure@gmail.com. Blog:  http://www.pamoja.co.tz/ DAR ES SALAAM, TANZANIA

No comments:

Post a Comment