Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 26, 2015

PICHA ZA BONDIA THOMASI MASHALI ALIVYOMTANDIKA FRANSIC CHEKA.


Bondia Fransic Cheka akikwepa konde zito la Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa raundi kumi uliofanyika mjini Morogoro ambapo Mashali alishinda kwa point mpambano huo.
Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika mjini Morogoro Mashali alishinda kwa point mpambano huo.Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika mjini 

 
Morogoro Mashali alishinda kwa point mpambambano uho wa raundi kumi. Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment