Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 28, 2015

Profesa Mark Mwandosya asherehekea kufikisha miaka 66 ya kuzaliwa kwake


Leo tarehe 28 Desemba, Profesa Mark Mwandosya amesherehekea kufikisha miaka 66 tangu kuzaliwa. Amesherehekea sikukuu yake hiyo akiwa kijijini kwake Lufilyo, Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Anamshukuru Mwenyezi Mungu na Watanzania wenzake kwa baraka anazoendelea kupata. 
Profesa Mark Mwandosya  akiwa akijiandaa kukata keki ya asili pamoja na maandazi wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 28 Desemba, akiwa pamoja na ndugu zake ambao walimtayarishia keki hiyo.
Profesa Mark Mwandosya akilishwa kipande cha keki na Mkewe, Mama Lucy 

 
Mwandosya wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 28 Desemba.

No comments:

Post a Comment