Kuna ajali ya bus la Luwinzo la Njombe-Dar ktk kijiji cha Kinegembasi
Mufindi Iringa. Bus la luwinzo limeingia nyuma ya Lori na hadi sasa watu
wawili wamefariki.
HARAMBEE YA MWEZESHE ATEMBEE YAKUSANYA BILIONI 1
-
GSM Foundation kwa kushirikiana na Hospitali ya CCBRT na klabu ya Yanga
waliendesha Harambee ya Mwezeshe atembee kwa ajili ya kukusanya fedha ili
kutibu ...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment