Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 9, 2016

HUYU NDIO MBUNGE ALIYEFUNGA, NDOA NA MSANII WASTARA

Mbali na sakata la kutaka kubomolewa kwa nyumba zake mbili zilizowekwa X kuwa bado halijapoa, Muigizaji Wastara Juma, jana usiku amefunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma.

No comments:

Post a Comment